8 ELULI 4
SIKU 7 ZA KUPANDA MBEGU NZURI YA MUNGU
ROHONI
MIAKA1000 ELIYA
KIONGOZI WA MAKUHANI KIZAZI CHA NNE
UFUNGUO
= Tunamshukuru
MUNGU kwa ajili ya siku ya Kwanza ya Nuru mwezi wa kufunua mambo mazuri.
= Tunamshukuru
MUNGU ni mwezi wa kufanya mambo makubwa na kumaliza kwa muda mfupi.
= Tunayo
mbegu ya rohoni ambayo imekwisha kurejeshwa, na tumepata jengo moja tu la Kanisa
na limekwisha kusimamishwa na linaonekana na kinyume na jengo limefutwa.
= Tunamshukuru
MUNGU jengo halikuwahi kuonekana kizazi cha 1,2,3 lakini kizazi hiki tu
limeonekana.
+ Majengo ya magonjwa
+ Majengo ya umaskini
+ Majengo ya utaabishaji
MUNGU
amefuta mbegu nyingine yeyote.
= Tunamshukuru
MUNGU kwa ajili ya mbegu ya rohoni imerejeshwa na imetupatia jengo kwa uhalisi
wake.
= Kusimamisha
Damu moja peke ambayo imesimamisha jengo moja peke yake. Majengo ya balaa,
mafarakano katika jamii, ulozi, uganga umefutwa kwa Damu ya Haki Kweli na
Hukumu.
= Majengo
ya damu nyingi damu za watu MUNGU anakwenda kufuta kwa Damu ya Haki Kweli na
Hukumu.
MSINGI
Kisiki
kiliondolewa ili baada ya kisiki kuondolewa tuweze kupanda mbegu.
Ayub.14:7
MUNGU
amekiondoa kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Kisiki
kilichokuwa kinazuia MUNGU ameondoa kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Upanga
umerejeshwa kulinda ile mbegu na kulinda jengo tulilopewa ili lisiende kubomolewa
na adui kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Dan.4:14-15
MUNGU
ameondoa roho ya miungu iliyoonekana ndani ya Daniel.
Mwa.31:22-
Ule
uchawi wa zinaa kwa kutumia viungo MUNGU amefuta milele hautakaa utokee tena
kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Kile
kitendo cha mchawi kuvua nguo na kusigina makalio kwa kulaani haupo tena.
Uchawi
uliyokuwa umebaki duniani wa hatari ni zinaa.
Uchawi
huo walikuwa wanatumia freemason, sasa kifo kimetimia kwa Damu ya Haki Kweli na
Hukumu na anayekulaani akiwa uchi haiwezekani tena.
Zile
laana wazazi wanalaani vibaya watoto zimekwisha hazipo tena.
·
Jengo kuonekana wazi
·
Sura yake
·
Uhalisi wake
+ Ugumu wa kuzuia jengo kujengwa MUNGU
amefuta.
Kulikuwa
na sababu nyingi
1. Mbegu
ya rohoni ilikuwa haipo au ilikuwa upande wa maadui.
Tunamshukuru
MUNGU ile mbegu ya rohoni sasa imerejeshwa na hakuna uganga wala uchawi
hautakuwepo tena. Uponyaji wa magonjwa sugu ndani ya Kanisa sasa ni wazi kwa
wazi
2. Kile
kitendo cha kutofautisha msingi na jengo
Na
hapa kama msingi ulikuwa imara kwa kushindwa kutofautisha kati ya msingi na
jengo hiyo inasababisha jengo kutokujengwa kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Kinachotakiwa
kila mmoja sasa aweze kutofautisha huu ni wakati wa msingi na huu ni wakati wa
jengo na unatakiwa ujue wazi wazi kuna majira ya msingi na majira ya jengo. Katika
msingi kila kitu kilifanyika kwa unabii na sasa katika jengo ni kwa uhalisi
wake.
+ Kama si unabii wa Kristo Kuhani alitengenezewa
njia.
+ Unaanza
kwanza unabii ndipo kila kitu kinaonekana wazi wazi.
Tunapoelewa
hivi lazima tuelewe kwamba roho ya Eliya ndiyo iko ndani ya Kuhani Kiongozi.
Kutokea
kunyakuliwa kwa Kristo wakamilifu wanamtofautisha kati ya Kuhani Kiongozi na Kristo.
Ukimwona Kuhani Kiongozi umemwona Kristo na ukimwona Kristo umemwona MUNGU. Ukimwona
mzeituni wa pili umemwona mzeituni wa kwanza.
Kuhani
Kiongozi unamwona moja kwa moja ujue umemwona Kristo usimngojee tena Kristo aje
afufuke akuonyeshe ona misumari kama Kristo wa kizazi cha tatu, sio mpaka ateremke
na vazi lake jeupe aje akuambie imekuwa imekuwa. Au utokee siku moja amwambie Bezaleli
nipeleke mlima wa moto haitokei tena. Sikiliza kanda ya lango 18 siwani, 3.
Msipofika
mahali mkaelewa hivyo itakuwa ngumu na lazima muelewe mwenye mafuta ni mzeituni
wa pili msije mkapigwa chenga kama kizazi 1,2,3. Aliyenena mafuta yote ya
kukutoa mahali popote pa shida na mwenye mafuta ya vizazi vyote ni Kuhani Kiongozi
amepakwa mafuta kwa ajili yako hakuna mwingine.
Ukimwona
Kuhani Kiongozi yeye ndiye kao la Kristo kizazi cha nne. Hakuna njia nyingine
mbadala ndio maana tumetoa sadaka ya kuongozwa na MUNGU mwenyewe.
Njia
za Bwana atamfundisha kwa sababu amemwona Kristo ndani ya Kuhani Kiongozi.
Kizazi hiki ni kile kizazi cha mambo hayajawahi kuonekana.
3. Kutoeleweka
vizuri kama yule anayejenga msingi
Tunamshukuru
MUNGU limeondoka kwa Damu ya Haki Kweli na Hukumu.
Gal.2:11-21
Paulo
alimwelewa Yesu Kristo kizazi cha 3 alimwelezea vizuri lakini tuliona Petro
alikuwa na misingi mibovu alitofautiana na Paulo.
4. Kufurahisha
mwili
Kristo
wa kizazi cha tatu aliponyakuliwa walitengeneza mambo mbali na Warumi walianza
kutengeneza, kuomba kwa watakatifu na bikira maria wakisema tuombee kwa Yesu.
Walimwacha Kristo wakamtumia bikira maria awaombee kwa baba hapo waliishia
mwilini, vurugu ilitokea kizazi cha tatu ukatoke amgawanyiko. Wakaja Waluteri
wagawanyika na Warumi na alipokuja Eliya ADAMU WA PILI MUNGU WA MAJESHI
alibomoa huo msingi kwa Damu ya Haki Hweli na Hukumu.
MWANZO WA SOMO
Isa.45:7
Yoh.12:24-25
Hapa
ndipo pa kuanzia leo siku ya Nuru.
Tunataka
tumshukuru MUNGU haijawahi kutoke siku nzuri kama ya leo.
Unatakiwa
tumshukuru MUNGU hapo ulipo wewe ni jengo la MUNGU.
Leo
ni jengo moja tu limesimama.
Majengo
ya zamani mila, desturi na mambo mabaya yote yamefutwa.
Tabia
ya Mkristo haikuwahi kuwepo ndiyo sasa inaonekana.
Utakapoombea
chakula kwenye ndege hakuna atakayesema wewe ni mpuuzi.
Kila
mmoja amekuja na mbegu na tulikuwa na wiki nzima ya kurejesha mbegu ya rohoni.
Mwa.1:9-13
MUNGU
aliotesha miti ndani ya miti kukazaa matunda ndani ya matunda kukaweka mbegu.
Mwa.2:8-10
Akachukuwa
maji akapandikiza mti.
Waliyokuwa
wamechukua mbegu ya rohoni walikuwa waovu na sisi tukachukua ya mwilini. baada ya
kufunguliwa macho ni makosa kuanzia mwilini kumbe lazima uatamie siku 7 ndipo
ujenge. Ukitaka kuchumbia uanzie rohoni.
Umefika
wakati lazima uanzie rohoni umwambie MUNGU nipe wa kunikamilisha na ninatoa
sadaka siku 7 ndipo MUNGU akuonyeshe wa kukamilisha. Hata mabinti walikuwa
wanaangalia sijui huyu atanifaa kumbe unatakiwa uatamie siku saba ili akupe wa
kukukamilisha. Miaka1000 hajasema umfukuze mke wako unatakiwa uatamie siku saba
ili ufike kukamilishwa kupita Roho ya Matengenezo, Marejesho, Upatanisho na
Kujenga.
+ Leo tunapeleka mbegu rohoni
+ Tutachimba rohoni
+ Tutapanda rohon na kuota mara moja
Yoh.12:24-25
Amini amini nawaambia chemhe ya ngano
isipoanguka kwenye nchi…………..
Shetani
aliiba mbegu ya rohoni akatengeneza dunia na uliwengu. Hapo mwanzo MUNGU
aliuumba mbingu na nchi jamaa akaiba hii mbegu ya rohoni akatengeneza dunia na
ulimwengu.
CHANGU
CHETU
CHAO
CHAKE
Anataka
kwanza ife
·
Leo tubadilike tunaanza na mbegu ya rohoni.
·
Kuna wengine wanakuja kupanda mbegu ya gari
·
Limbuko likiwa takatifu na donge lote kuwa
takatifu
·
Likiwa la ubinafsi linakuwa la ubinafsi
Leo
lazima tuanze na MUNGU sijui kitu gani kinauma uanze nacho.
Kama
umeandika cha kwako, chao, chetu ufute leo ni siku ya kwanza.
Isa.45:7
MUNGU ninaumba nuru….
Leo
tujifunze kuumba nuru kama MUNGU alivyofanya nuru.
Tusiwe
kama Hawa alipotea kwa kusema haya yanapendeza macho.
+ Sisi mbegu tumeishaipata kwa kuanzia
rohoni.
+ Usichanganyikiwe kwa kukutoa mwilini na
kuingiza rohoni.
Nafsi
zetu zinakufa na kubakia ya MUNGU mwenyewe.
Mwa.2:4-5
Mpaka
anastarehe anafanya ibada ya kushukuru alisema nimefanya kila kitu chema sana
lakini alianzia rohoni.
Mwa.1:9-13
Mwa.2:8-10
Jambo
lilikuwa linasababisha ukipanda mbegu ioze ni mashaka na wasi wasi.
Luk:1:20
Ninajua
kabisa ukipanda mbegu unafuraha lakini ukitoka pale nje unaanza kuwa na maswali
je itatokea kweli lakini huko tumetoka kabisa.
Kuna
anayeangalia kupanga chumba.
Je
nitaweza kupanda mbegu kweli hiyo ndiyo inaitwa miiba inayosonga mbegu.
Kupalilia
rohoni ni kutoruhusu maswali ya mazingira.
Zakaria
ilibidi afanywe bubu lakini sisi hatutakiwi kuwa bubu.
2Fal.7:1-
Elisha
akawaambia msiogope majira kama haya unga na ngano na kila kitu kitakuwepo.
+ Kuona utaona lakini kula hutakuka
Hizo
mashine zote zilizoko Greece ni kwa ajili yako uchumi umeharibika kwa sababu
wao ni Wayunani waliharibu.
Lakini
Miaka1000 hataki ufe anataka ule kabisa lakini roho ya kutoamini madhabahu leo
tunaing’oa roho ya kutokuamini Neno lazima tuing’oe leo.
2Fal.4:8-16
Elisha
na Gehazi wakatengenezewa chumba, taa wakawekewa na mahali pa kulala. Mtumishi
yeyote ukimpa kitu kwa moyo ni deni. Elisha akamuuliza Gehazi huyu mama
ametuhudumia vizuri hebu muulize anashida gani. Gehazi alimwambia hana mtoto
Elisha akamwambia majra kama hii mwakani atapata mtoto.
Miaka1000
hataki mbegu tuliyopanda ife anataka tuamini leo kwamba tumefika pazuri haya
tuliyofanya lazima yatokee.
Ibrahimu
pamoja ni baba yetu wa imani
Mwa.15:1
MUNGU
alimwambia nitakupa mtoto kutoka kwa mke wako lakini baada ya kuchelewa kupata
mtoto kwa kupungukiwa na imani akazaa na mjakazi lakini nataka leo usipungukiwe
na imani.
Kama
umepanda mbegu ya tembo utasubiria muda lakini MUNGU atafanya haraka.
Mwingine
ni tembo anatamani kunya mavi ya sungura hiyo si sawa.
+ Wewe una laki moja unapanda mbegu ya mia
mbili.
+ Wewe una hazina moja benki unapanda mbegu
ya elfu mbili
Kilichosababisha
Israel ya mwilini asumbue ni ile mbegu ya Isaka ilibidi MUNGU aape mpaka leo
kilikuwa kinasumbua mpaka alipokuja Eliya wa kizazi cha nne kutengua.
Kama
ni sungura unye ya sungura lakini bado atakupa ya tembo.
Yule
mama alionekana ametoa nyingi alitoa senti moja na sikujua Yesu kuwa alikuwa
anachungulia kikapu na Miaka1000 atachungulia kikapu sasa aone mnachotoa. Kumbe
kama mimi ninazo nyingi nipande kwa kadri ya kulinga kwa uwiano.
+ Uwiano –panda kulingana na ulivyo.
+ Kuhani ukimnyanganywa malimbuko umemmaliza.
Hakuna
sadaka inayomgusa Kuhani kama malimbuko kwa sababu yeye ndiye anakula malimbuko.
Hes.18:20
MUNGU
alitupa kabisa malimbuko tule na sisi tukamwambia MUNGU tunakurudishia wewe. Na
wewe utoe kitu ambacho kinakuuma hiyo mbegu itaota ili matunda yawe matamu na MUNGU
aangalie ni nani anapukutisha matunda.
Tunatakiwa
tuondoe leo hii mbegu ya mashaka, wasi wasi.
+ Tunaona kama hii haiwezekani.
+ Kung’olewa mbegu ya kutokuamini.
Kuondoa
mbegu ya kumtishia MUNGU kama usipotoa muda wa miezi mitatu nitakuacha.
·
Kisiki kimeng’olewa kilichokuwa kinazuia
mbegu isiote.
·
Leo tunaondoa kisiki cha kutoamini .
·
Kutoamini ni sawa sawa na uchawi.
·
Leo tunaondoa shina la uchawi la kutoamini.
Tunaenda
kutubu kwa ajili ya kizazi cha kwanza ambacho hakikuamini mbegu ikaibiwa, kizazi
cha pili hawakuamini mbegu ikaimbiwa na kizazi cha tatu mbegu ya kutoamini
walifanya mbegu ikaibiwa.
·
Tunang’oa shina lake.
·
Tunang’oa chanzo chake.
·
Tunang’oa msingi wake.
·
Tunang’oa limbuko lake.
Sio
tunang’oa tu ila tunachoma moto isiote tena.
Why you should gamble with a live casino? - DrMCD
ReplyDeleteLive casino, casino, 제천 출장마사지 poker, and lottery is all 김해 출장샵 about fun, and 제주도 출장안마 so does gambling. From slots and video 거제 출장마사지 poker, there's a lot 제주도 출장마사지 more to