MAJIRA NA NYAKATI

MAJIRA NA NYAKATI YA SIKU YA LEO.
Siku ya NNE.
Lango la 25.
Mwezi ABIBU.
Mwaka wa 6 wa UKAMILIFU NA UTIMILIFU WA ISAYA 2:2-4 NA ISAYA 60.
(29 October 2016)
HEADLINES/VICHWA VYA HABARI
UKAMILIFU WA MSINGI NA JENGO VIZAZI VYOTE




Katika vizazi vyote vilivyopita, hakuna Msingi wa kizazi uliowahi kukamilika, kwa sababu Jengo halikukamilika. Msingi wowote ukikosa jingo juu yake huwa haudumu (Yaani msingi ule unaharibika) na hakunawanaokaa humo, maana haliwijengo linalofaa kwa makazi. Inaendelea UK2






MAFUTA YA UMILELE YATIKISA DUNIANI

Wakamilifu wa kanisa la Siloam waliopo katika nchi ya Upendo (MALAWI)
Wamemtukuza Mungu kutokana na Mafuta hayo. Inaendelea Uk1

·        MCHUNGAJI WA DINI NA MADHEHEBU APONYWA KANISA LA SILOAM. Ipo uk 20
·        ILI NIPATE MAJIBU NISHUKURU VIPI ? Ipo Uk 5
·        HAKI NA KAZI ZA NABII MAKALA YA 15. IPO UK7
·        JINSI YA KUWEKA AGANO BINAFSI NA MUNGU. Ipo uk 9
·        MBEGU YA AMANI NDANI YA KANISA YAREJESHWA.ipo uk10
·        HABARI ZA PICHA.uk 12
·        MAJIRA NA NYAKATI YA MWAKA WA NNE.ipo uk 14
·        MAKALA YA 17 YA WOKOVU WA KWELI.ipo uk 17
·        MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE UKUHANI WAKO ILI UWEZE KUFANIKIWA.ipo uk 18
·        KAO LA MUNGU NI NDANI YA KIONGOZI WA MAKUHANI KIZAZI CHA NNE.ipo uk 19
·        KUTOKA MADHABAHUNI.ipo uk 22

·        FEDHA ZILIPOKWISHA MISRI[1].upo uk 24

No comments:

Post a Comment